KARIBU KAHAMA COOPERATIVE UNION - (KACU LTD)
KACU LTD ina jumla ya Vyama Wanachama 138, ambapo Vyama 58 vinajishughulisha na kilimo cha zao la Tumbaku, Vyama 36 zao la Pamba na Vyama 44 vinajishughulisha na mazao yote mawili ya Pamba na Tumbaku.