bopen

KARIBU KAHAMA COOPERATIVE UNION - KACU

KACU LTD ina jumla ya Vyama Wanachama 126, ambapo Vyama 46 vinajishughulisha na kilimo cha zao la Tumbaku, Vyama 36 zao la Pamba na Vyama 44 vinajishughulisha na mazao yote mawili ya Pamba na Tumbaku.

UJUMBE KUTOKA KWA MWENYEKITI

Chama Kikuu cha Ushirika Cha Kahama (KACU) LTD Kiliandikishwa tarehe 20.04.1994 chini ya Sheria ya Vyama vya Ushirika  namba 15 ya Mwaka 1991 fungu la 30 kwa Usajili namba 5493.

KACU LTD ina jumla ya Vyama Wanachama 126, ambapo Vyama 46 vinajishughulisha na kilimo cha zao la Tumbaku, Vyama 36 zao la Pamba na Vyama 44 vinajishughulisha na mazao yote mawili ya Pamba na Tumbaku. KACU LTD ina jumla ya wakulima 13,455 kutoka kwenye Vyama vya msingi ambavyo ni wanachama wa KACU LTD.

 

 

 

 

 

 

Bw. TANO NSABI MWANDU