bopen
Zao la Tumbaku Kahama

KACU LTD ina jumla ya Vyama Wanachama 126, ambapo Vyama 46 vinajishughulisha na kilimo cha zao la Tumbaku, na Vyama 14 vinajishughulisha na mazao yote mawili ya Pamba na Tumbaku.

Takwimu - Zao la Tumbaku

MSIMU IDADI YA WAKULIMA KILO ZALISHWA
2014/2015 6,653 9,734,924
2015/2016 5,319 6,216,872
2016/2017 5,593 9,572,874
2017/2018 5,775 7,004,553
2018/2019 5,886 8,006,420
2019/2020 4,978 6,752,763
2020/2021 5,563 7,660,904
2021/2022 6,258