bopen
Zao la Pamba wilaya ya Kahama

KACU LTD ina jumla ya Vyama 66 zao la Pamba na Vyama 14 vinajishughulisha na mazao yote mawili ya Pamba na Tumbaku katika wilaya ya Kahama.

Takwimu - Zao la Pamba

MSIMU IDADI YA WAKULIMA KILO ZALISHWA
2018/2019  7,862 4,596,580
2019/2020 3,261 742,298
2020/2021 4,635 670,528
2021/2022 4,876